Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


  1. Wabunge wengine wanaoongoza kuwa 'active' bungeni ni Mh. Mnyika (2), Mh. Lissu (3), Mh. Chilolo (4), Mh. Zitto (5).
  2. Mbunge alieyechangia zaidi bungeni ni Mh. George Simbachawene
  3. Wabunge wenye viwango vya juu vya elimu wana ushiriki mkubwa zaidi bungeni.
  4. Wabunge wa kuchaguliwa wana ushiriki zaidi kuliko wale wa kuteuliwa.
  5. Tunakaribia kuanza Press Conference. Itahusu 'Tathmini ya miaka miwili ya Bunge 2010-2012 - Je, walifanya kazi tuliyowatuma?' Fuatilia hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top