Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
baada ya nando na selly kuvunja amri ya 6 mjengoni swali linakuja jeeeeee, Feza nae atavunja amri ya sita na o'neal????? maana inasemekana yupo kwenye penzi zito na O'neal wa Botswana, kafa kaoza na haskiii wala haoni, wanalala kitanda kimoja na kuamka wote, ma'denda' na ma hugs kwa sana mweeee!!!! sie ye2 machooo!!!! maana kwa nando mnachekelea je kwa feza mtachekelea ivoivooo???VIDEO YA MSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY) AKIPIGWA DENDA NA ONEAL WA BOTSWANA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER...!! -

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top