Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Hatimaye mshambuliaji Carlos Tevez ametua katika klabu yake mpya  Juventus kwa ajili ya kuchukuliwa vipimo vya afya.

Mapokezi ya Tevez mjini Turin Italia yamekuwa makubwa na askari walilazimika kufanya kazi ya ziada ili kuwazuia mashabiki.

Juventus imekubaliana na Man City imekubaliana na Juventus kwa kitita cha pauni milioni 10.





Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top