Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
JANETH AAMUA KUSLIM: Dada wa aliyekuwa mfalme

wa muziki wa Pop duniani
(Michael Jackson), Janeth
Jackson ameamua kuwa
muislam baada ya kile

kinachosadikiwa kuwa ameolewa na mume wa
kiislam na kuamua kubadili
dini na kuwa muislam. Janeth ameamua kuachana
na muziki aliokuwa
akiutumikia kwa takribani
ya miaka 30 na kuamua
kumgeukia Mungu. Kwa US
imekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya
mastaa kuamua kuslim na
kuwa waislam, kwani
tuliona msanii Loon aliamua
kuwa muislam na kuachana
kabisa na mambo ya muziki, pia tukaona kwa mfalme
wa ndondi, Mike Tyson nae
aliamua kuslim nakuwa
muislam. Hivyo si ajabu sana
kwa uamuzi aliouchukua
mwanadada huyo.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top