Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Msanii na Mtangazaji maarufu Vanessa Mdee akiwa katika Tigo Celeb Twitter Live Chat kwenye ukurasa wa Tigo. Pembeni yake ni George Katoto - Mtalaamu wa Mitandao ya Kijamii (katikati) na Silvanus Makoko  Afisa Msaidizi kutoka huduma kwa wateja Tigo.
 Vanessa Mdee akipata maelekezo kutoka kwa Athanasius Muhanuzi - Meneja wa Mitandao ya Kijamii kutoka Squad Digital. Kutoka kushoto ni Amani Nkurlu Meneja Mawasiliano wa Tigo, George Katoto Mtalaamu wa Mitandao ya Kijamii na Silvanus Makoko   Afisa Msaidizi kutoka huduma kwa wateja Tigo.
 Vanessa akifurahia swali aliloulizwa kupitia Tigo Celeb Twitter Live Chat.
 Vanessa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Tigo.
Vanessa “aki-smile na Tigo” baada ya kumaliza kujibu maswali ya washabiki katika Tigo Celeb Twitter Live Chat ambayo inafanyika mara moja kila mwezi.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top