Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


anaitwa Queen Fatima Zohar-Godabari wa Saudi Arabia inasemekana yeye ndiye mwanamke mzuri zaidi duniani kwa mwaka huu wa 2013. Fatima Zohar-Godabari ambaye kwasasa ni malkia wa Saudi Arabia alikuwa akivaa hijabu muda wote kama wafanyavyo wanawake wakiislamu kiasi cha kufunika uso wake masaa yote lakini siku moja alipigwa picha akiwa hajajifunikana usoni napicha hiyo ilipostiwa katika mitandao na magazeti ndipo watu walipodai hakika ni mwanamke mzuri zaidi na kumpelekeakuwahuru kupiga picha pasipo kujifunika usoni.
 Tizama picha zake hapa












Upande mwingine inasemekana kwamba kijana Omar Borkan Al Gala ndiye kijana handsome zaidi kuliko wote duniani kwa mwaka huu wa 2013..Omar Borkan Al Gala ambaye ni mwigizaji napi ni mwanamitindo alifukuzwa huko Saudi Arabia kutokana na mvuto aliokuwa nao.

Tizama Picha zake hapa.







Je Unadhani watu hawa wawili wanastahili sifa hizo???

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top