Waandamanaji Nchini Afrika Kusini Wakisali mbele ya Bango linalopinga Kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Afrika Kusini Jioni ya jana Juni 28
Waandamaji wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali mbele ya Ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo jana wakati Raisi Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara ya Siku 2 ..
Mmoja
wa waandamaji nchini Afrika Kusini ambaye jina lake halikuweza
kupatikana mara moja akiwa amebeba moja ya Bango ambalo Linamwita Raisi
OBAMA kuwa ni Mpishi wa Ikulu ya Marekani kama linavyosomekana na
kuendelea kuelezea kuwa sera za Marekani ni tatizo.Mwandamaji huyu
alibeba bango hilo jana Juni 28 wakati wa maandamo ya amani kuelekea mbele ya
Ubalozi wa Marekani NChini humo kwa kupinga Kuja Kwa OBAMA Nchini
Mwao.Picha Zote na REUTERS/AFPFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment