Kama utakua ni
muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati ya mshiriki wa BBA
kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva Loveness love.
Sasa leo hii
katika interview tuliyofanya na Hudda amesema hana uhusiano na Prezzo, ni rafiki
yake tu, na hana beef yoyote na Diva na kwanza hamfaham.
"you know mimi
hupenda kutoa maoni yangu, so saa ile mi natoa maoni yangu mtu ana-judge
vingine, mi sina bif na Diva, na simjui, na kama uli-notice i only replied three
times."
unajua mi
niliandika "lol" after seeing her tweet calling Prezzo "baby", why? i just find
it funny, so yeye ndio akawa anaandika all that" amesema Hudda
kwa
inavyoonekana Diva alikua akisikiliza radio wakati interview ikiendelea, na
haikumchukua dakika sifuri, akahusika twitani na kuandika
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment