Juzi wapenzi wa filamu wa Bollywood walibaki na majonzi baada ya muigizaji mwenzao binti mdogo tu Jiah Khan kujiua.
Moja ya wasanii walioshtushwa na kifo hicho ni mkongwe Amitah Bachchan ambae wameshacheza filamu pamoja.
WHAT ...!!! Jiah Khan ??? what has happened ? is this correct ? unbelievable !!!"
Huu ndio mshangao alikuwa nao na kuandika kupitia ukurasa wake wa twitter.
Jiah akiwa ndio ameanza tasnia ya uigizaji filamu yake ya kwanza alifanikiwa kucheza na Amitah Bachchan.
Amitah
Bachachan alisikitika sana na kuelezea jinsi gani ameumizwa na kifo
hicho.Kwa nini alifikia uamuzi wa kujiua akiwa bado mdogo na nafasi
kubwa ya kufanya vizuri katika industry ya filamu.Akasema lakini "The end ramains with the person who ends it"
Jiah Khan aliyefariki akiwa na miaka 25 alijiua juzi jumatatu kwa kujinyonga akiwa nyumbani kwake suburban
Juhu Mumbai India.Japo hakuacha ujumbe wowote lakini inasemekana kifo
chake kimetokana na matatizo ya kimapenzi.Jiah alishajaribu kujiua miezi
8 iliyopita sababu ikiwa ni aliyekuwa mpenzi wake.
Sooraj
Pancholi pichani mtoto wa waigizaji wakubwa huko hollywood ndio alikuwa
mpenzi wa Jiah.Uhusiano wao ulidumu kwa mwaka na baadae akagundua Sooraj
kuwa ana mpenzi mwingine.Kitu ambacho kilimsumbua marehemu kwa muda na
kumpa depression.
Familia kwenye msiba
Mwili wake ukipelekwa kwenye maziko ambayo yalihudhuriwa na mastar kibao wa hollywood.
Hizi ni shots za filamu yake ya mwisho kabla hajafa inaitwa housefull.Humo wapo kina Akshay Kumar, Deepika Padukone, Lara Dutta na Arjun Rampal wale mnaofatilia movie za kihindi mnawajua.
Aliingia Bollywood akiwa na mika 19,filamu alizowahi kucheza Nishabd in 2007, Ghajini (2008)Housefull (2010)
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro















Post a Comment
Post a Comment