Chipukizi
wawili wa filamu za Kibongo, Tabasamu Mohamed na Neema Ibrahim,
walikutwa ‘laivu’ wakifanya mambo ya chumbani hadharani.
Tangu
mwaka jana kumekuwa na mfumuko wa kasi kwa wasanii wa kibongo kupiga
picha za utupu na kuzisambaza mitandaoni huku wengine wakijiuza
live...!!!
Awali
wasanii hao walishuhudiwa wakiwa karibu kimahaba ambapo walikwenda
kukaa chini ya mti na kuanza ‘kudendeka’ kabla ya kuzama katika hatua
mbaya zaidi ya kutomasana na kuvuana nguo bila kujali kuwa ilikuwa
mchana tena hadharani.
Inasikitisha sana kuona binadamu wa leo tukifanya mapenzi kama wanyama wa porini..Huu ni ushamba..!!
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro










Post a Comment
Post a Comment