DJ Jiwe a.k.a Mwanakijiji mtangazaji na DJ wa Capital fm ya jijini dar es salaam alia na waandaaji wa Killi music awards,katika ukurasa wake wa facebook aandika kinachomkera,ebu soma hapo chini ili ujue kinachomuumiza DJ Jiwe kiasi cha kumfanya awaite Killer Music awards na sio Kili music awards!!
DJ Jiwe akiwa studio.
DJ jiwe a.k.a Mwanakijiji katika pozzz!!
staki kuamini kuwa ngoma ya JAY MOE FAMOUS ni ya kiboya kiasi isistahili kuingia kwenye tuzo zao halafu ngoma ya kiboya kama boma la utete iwepo daaaaaaaaaaah kweli dis is tz killer music awards kweli hata kwenye mtunzi na msanii bora wa hip hop JAY MOE MORE FLAVA MORE TECHNIQUES MORE CONSCIOUSNESS MORE EXPERIENCES asiwepo????halafu kesho akivuta ndo mnajifanya kimbelembele kutaka kusimamia show yake ya mazishi sio?ngoma kama miss TANZANIA YA SOLO THANG daaaaaaaaaaaaah nyinyi wadhamini wa hizi mnaboa sana asee!!!!!!!!!!!!!!!!!

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment