Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Dar es Salaam mko tayari kwa Huddah Monroe? Mrembo huyo ambaye alikua mmoja wa wawakilishi was Kenya kwenye Big Brother Africa 8 (BBA The Chase) amewasili jijini Dar es Salaam leo asubuhi akitokea jijini Nairobi Kenya tayari kwa kuhost party kubwa ya katikati ya mwaka, Mid Year Bash itakayofanyika
kesho jumaa mosi PANDE za Elements

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top