Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mfanyikazi wa zamani wa shirika la kijasusi la Marekani, CIA, amejitambulisha kuwa ndiye aliyefichua taarifa kuhusu mipango ya nchi hiyo ya kupeleleza kisiri taarifa za simu na mitandao. 

Gazeti la Uingereza la The Guardian lilifichua kuwa shirika hilo la kijasusi limekuwa likifuatilia kisiri taarifa za watu kwa kudokoa kupitia simu na kwenye mitandao. 


Edward Snowden mwenye umri wa miaka 29 amekiri hapo jana kuwa ni yeye ndiye aliyelifichulia gazeti hilo taarifa hizo za kijasusi katika video iliyotolewa na mtandao wa gazeti hilo. 

The Guardian limesema lilitoa video hiyo kwa idhini ya Snowden ambaye ametorokea Hong Kong

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top