Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Hit maker wa ‘Diamonds’ Riri mwenye miaka 25 ameweka picha inayoonesha sehemu zake za makalio ambayo huenda ni ujumbe kwa breezy kuwa ni kati ya vitu atakavyomiss kwake kwa kutokuwa naye japo aliweka caption inayosema kuwa hiyo ni moja ya picha katika video yake mpya.
Hivi karibuni Riri aliendelea kuvaa nguo zenye ujumbe wa kutatanisha baada ya kuvaa T-shirt yenye maandishi D.I.Y (do it yourself) na chini ya neno hilo kuna picha ya binti aliyepiga bikini na mkono wake mmoja ukiwa umeshika ikulu.


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top