Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kuihama nchi yake  na kuelekea nchi jirani ya jamhuri ya watu wa KENYA ...

Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA au MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni kutaka  kujinasua  katika  migogoro  inayomkabili ambayo  tayari  iko mahakamani.... 

Mwanamuziki huyo ame-tweet kupitia mtanadao wa kijamii wa twitter na kuandika  


@JideJaydee "Kuna muda pesa tu ndio inaongea sijui nihamie Kenya nikaombe uraia huko? Au Malawi labda, mtanifuata?

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top