Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wachezaji wa wigani wakijishika kiuno mara baada ya mechi yao na Arsenal kumalizika kwa kufungwa goli 4-kwa 1 na kuwe wameshuka daraja la ligi kuu uingereza baada ya miak anane kucheza ligi hiyo alikuwa wakwanza kufunga goli kwa Arsenal mjerumani lukas podoski katika kipindi cha pili na kabla ya mapumziko Maloney  kuisawazishia goli hilo.
kipindi cha pili kianza kwa Arsenal kulishambulia sana lango la Wigan alikuwa ni Theo walcott aliyeipatia goli la pili arsenal baada ya kupata psai kutoka kwa sant carzola podoski tena aliludi nyavuni baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa carzola tena goli kipa alipisha na mpira ukielekea golini goli la nne na la mwisho kwenye mechi hiyo limefungwa na Aron  Ramsey na kuhitimisha kalamu ya magoli na mujo kwa moja Wigan ikawa imebaki kwenye nafasi yake ya 3 kutoka mkiani huku ikiwa imeshuka daraja Arsenal nayo ilichupa mpaka nafasi ya nne ya msimamo baada ya kushinda na kuitelemsha tottenham nafasi ya 5 kwa point 1 zaidi.
Lukas Podolski and team-mates after he scored against Wigan podoski akishangilia goli la kwanza
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top