Muimbaji huyo aliahirisha show yake ya Antwerp iliyo sehemu ya ziara
yake ya dunia ya Mrs Carter kutokana na uchovu na kupungikiwa maji hali
iliyokuza tetesi za kuwa ni mjamzito tena.
Queen Bey alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na website yake akiomba radhi.
Queen Bey alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na website yake akiomba radhi.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment