Diamond Platnumz ametajwa kuwania vipengele vitano kwenye tuzo za mwaka huu za Afrima. Vipengele hivyo ni pamoja na Songwriter of Th...
Busu la Nelly Kamwelu shavuni kwa Diamond akiwa na Wizkid lawatoa povu mashabiki (Video)
Haipiti wiki bila Diamond kuwatoa povu mashabiki, hata kama alichokifanya si kwamba alidhamiria. Jumanne hii hitmaker huyo wa ‘Kido...
AUDIO: Kitu Diamond kasema kuhusu yeye kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto
Ukaribu wako kwenye mitandao ya kijamii siku za karibuni unaweza kuwa ulikukutanisha na stori Diamond Platnumz amekua na uhusiano wa ...
Ujumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Gumzo......Kamwambia "Ukikua chonde mama ukitunze wasikile sana"
Diamond Platnumz si mgeni kwenye jumbe tata kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ujumbe wake mpya kwa bintiye, Tiffah umesababisha mjada...
Bifu Kali Kati ya Diamond na Clouds Media
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani. Hii ni kutokana na media hiyo kut...
Diamond Platnumz: Baada Ya Nape Nnauye Mimi Ndo Waziri wa Habari Na Michezo Mtarajiwa
Diamond Platnumz amesema akiachana na muziki anataka kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ili kuweka vitu sawa na kutoa fu...
Diamond Yamkuta ya Wema… Atimuliwa Kwenye Nyumba ya Studio
SIKU chache baada ya muigizaji kiwango Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutimuliwa katika nyumba aliyokuwa amepanga maeneo ya Kijitonyama jijin...
Good News..! Diamond Na Mpenzi Wake Zari Wapata Mtoto Wa Kike.
Staa wa Bongo Fleva ambaye jina lake limebeba uzito mkubwa Afrika, Diamond Platnumz amepata mtoto wa kike toka kwa mpenzi wake...
Picha ya Diamond na Zari Wakiwa Nusu UCHI Yawavuruga Mashabiki...
Stori zilizo zagaa mtaani ni kuwa wawili hawa( Diamond na Zari ) wanatarajia kupata mtoto wao hivi karibuni, lakini picha hii i...
Picha: Diamond awashukuru watanzania kwa ushindi wa tuzo ya MTV MAMA
Mshindi wa tuzo ya mtumbuzaji bora wa Afrika kwa muziki wa MTV MAMA, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amewashukuru watanzania kwa kumwez...
Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata
Story ya Diamond na Jokate imeingia kwenye hatua nyingine. Mshindi huyo wa ‘Best Live Act’ kwenye MTV MAMA baada ya kurejea Tan...
Vanessa Mdee na Diamond watajwa kuwania tuzo za African Entertainment za Marekani
Wakiwa wanasubiria kujua kama wataibuka washindi kwenye tuzo za MTV MAMA zinazofanyika weekend hii jijini Durban, SA, Diamond na Vanessa M...
Diamond asema Zari atajifungulia Tanzania, ayataja majina mawili ambayo wamevutana kumpa binti yao
Diamond Platnumz ambaye ameonesha kuwa na shauku kubwa ya kuwa baba, amesema kuwa mpenzi wake Zari yupo Tanzania kwasababu zimebaki wiki...
Natamani mngeelewa jinsi ninavyompenda Zari 'The Bosslady' – Diamond Platnumz
Diamond Platnumz anatamani watu waelewe jinsi anavyompenda mpenzi wake Zari Tlale aka The Bosslady. Wawili hao wanatarajia kupata mt...
Maneno ya Diamond Platnumz Kuhusu Beef, Timu za Insta na Facebook, Uchawi na Wanaompigia Kura Davido Mengine.
Diamond Platnumz alikaa kwenye Exclusive Interview na XXL ya CloudsFM na kuzungumzia ishu mbalimbali ikiwemo beef na Ali Kiba, team za I...
Diamond Afanyiwa Kufuru na Msanii wa Nigeria..
Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefanyiwa kufuru ya bonge la pati na msanii mwenzake kutoka nchini N...
Diamond Azidi Kumpa Machungu ALI KIBA Amevunja record kashika No.1 kwenye Top 10 ya Afrika
Kwenye Top 10 ya muziki mkali wa Afrika ambayo hufanyika kila Alhamisi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina mamilioni ya Wata...
Diamond Asitisha Kupokea Maombi ya collabo za Wasanii wa Nigeria
Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake’ kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alio...
Kilicho Mponza DIAMOND PLATNUMZ Tuzo za Kill Music Hichi Hapa, Wema na Jokate Watambiana Mabwana, Vanessa na Jux Wapakatana
Tuzo za Muziki za Kili 2015, Jumamosi ya wiki iliyopita zilitimua vumbi kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo...
Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Wavuja Mitandaoni Kabla Hajautoa Rasmi..Usikilize Hapa Nimekuwekea
Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Wavuja Mitandaoni Kabla Hajautoa Rasmi..Usikilize Hapa Chini Nimekuwekea


















