Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
.
Hii ni video mpya ya mkali Hamisi Corleone Mwinjuma aka Mwana FA ya Kiboko yangu ni moja kati ya ambazo zimekuwa zikisubiriwa kwa hamu na watu wengi.
Video imetayarishwa na Director Kelvin Bosco wa D.M.P. Films.
Ukishamaliza kuitazama mtu wangu usiache kuniandikia lako la moyoni, Mwana FA na Ali Kiba wakipita waone mtu wao umesema nini kuhusu video hiyo. 
Kama kifaa chako hakina uwezo bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top