Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
JayBey Phone III
Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi siku hizi.
Beyonce ni mke wa Jay Z, story  kubwa zaidi mitandaoni kwa sasa ziko mbili, kwanza ni zile romours za ujauzito wa staa huyo, pili ni kuhusu Bey kunaswa ana kamera akiangalia kile ambacho mumewe anakifanya kwenye simu yake!
Hapa nimekuwekea pichaz za matukio mbalimbali ya Beyonce akiangalia simu ya mumewe, lakini kumbe hata Jay pia aliwahi kunaswa akiangalia simu ya Beyonce.
JayBey Phone II
Hii ilikuwa siku za nyuma, Jay yuko busy na simu yake, Bey kama anafuatilia kwa pembeni mume wake anachokifanya.
JayBey Phone III
Hapa Beyonce alikuwa akiendelea na mambo yake kwenye simu, Jay nae alikuwa akifuatilia anachokifanya mkewe.
JayBey Phone
Hii ilikuwa jana, kwenye mechi ya Basketball kati ya Houston Rockets naBrooklyn Nets, Jay na simu yake Beyonce hakuwa mbali.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top