Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kim-Kardashian-Looking-Back-Side-Face-CloseupsDunia na vioja vingine 2014, eti unaweza kumuacha mpenzi wako kwa kuwa hafanani na staa fulani ambaye wewe unampenda?
Mwanamke mmoja ambaye jinalake ni Rahma, kutoka Cairo, Misri, amedai talaka kwa mumewe kwa kuwa amekuwa si mwaminifu, amekuwa akimsaliti mara kwa mara kutokana na kile ambacho mwanamke huyo amekisema eti mumewe anataka mke wake afanane na Kim Kadarshian au muigizaji Haifa Wehbe.
Mara kadhaa mume wa mwanamke huyo amekuwa akimtaka avae na kutengeneza nywele zake ili afananena mmoja ya mastaa hao, alikataa, amesema anatazama mambo mengine ya msingi kuyafanya ikiwemo kumlea mtoto wake wa mwaka mmoja, hivyo asingeweza na hili la kujitengeneza ili afanane na mastaa hao ambao yeye aliwaita midoli wa kwenye TV!
Kim Kadarshian
Kim Kadarshian
Haifa Wehbe, Mwanamitindo, mwanamuziki na muigizaji kutoka Lebanon.
Haifa Wehbe, Mwanamitindo, mwanamuziki na muigizaji kutoka Lebanon.
Kwa kuwa dini ya mwanamke huyo inaongozwa na Sheria ya Shariah ambayo inaruhusu mwanamke kuachika na mahari iliyotolewa kurudishwa, mwanamke alifanya maombi ya kudai talaka ili aendelee na maisha yake mengine.
Credit Millard ayo

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top