Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwanamuziki Rihanna anayedaiwa kuwa mjamzito.
 
TOVUTI ya MediaTakeOut imesema mwanamuziki Rihanna ni mjamzito asilimia 100 na ina vithibitisho kuhusu taarifa hiyo na kama siyo kweli watatoa Dola za Kimarekani 10,000.

Katika ripoti iliyotolewa na tovuti hiyo, inadaiwa kuwa Rihanna ni mjamzito na walipata taarifa hizo jana huku wakieleza kuwa si tetesi taarifa hizo ni za uhakika asilimia 100.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top