Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Jade Sylvester mwenye umri wa miaka 25 anashindia toilet paper mwaka sasa tangia kuanza tabia hiyo ya kula karatasi za 

maliwatoni. 


Mimba ya kwanza ndiyo ilisababsiha haya yote, akina mama wengi upatwa na mikasa kama hii ya kupenda kula vitu ambavyo kwa hali ya kawaida huwa ni vigumu kufanya. Habari 


ndiyo hiyo Jade ubugia mizigo 8 kwa siku na anashindwa kujizuia kupenda kula mzigo huo licha ya kuto kuwa na mimba kwa sasa. 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top