Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Ndege ya  AirAsia aina ya Airbus A320-200160 ikiwa na abiria imepoteza mawasiliano na vituo vya kuongozea ndege na haijulikani hatima yake.
Ndege hiyo ilikuwa inasafiri kutoka mji wa Indonesia wa Surabaya kwenda Singapore .
Imeelezwa kuwa mawasiliano ya mwisho na ndege hiyo iliyokuwa na mruko namba QZ8501 23:24 GMT.
Ndege hiyo ilitarajiwa kuwasili Singapore  saa 00:30 GMT.
Taarifa kutoka wizara ya uchukuzi inasema kwamba ndege hiyo ilipoteza mawasiliano wakati ikiwa bahari ya Javavya  kati ya visiwa vya Kalimantan na Java .
Ofisa mmoja kutoka wizara hiyo Hadi Mustofa alisema ndege hiyo kabla ya kupoteza mawasiliano iliomba kibali kupita njia ambayo si ya kawaida na anga lilikuwa na mawingu sana

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top