Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe (Klyn)k lyn
Ilikua ni birthday ya bidada iliyofanyikia Dubai ndio mzee  akaamua ku propose kwa mlimbwende huyo…., nae bila hiyana alipoulizwa “Will you marry me” hakusita kusema “I do” Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kinasema Bwana Mengi hajawahi kuwa happy kwenye mahusiano kama alivyo sasa yeye mwenyewe kakiri kuwa huyu binti kamuonyesha WHAT LOVE IS…

>>>>>bongoclan

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top