katika mchezo wa mapema uliochezwa leo timu ya mannchester united imelazimishwa sare ya bila kufungana na timu ya tottenham katika uwanja wa white hatlen Mchezo huo ulikuwa mkali na wakushambuliana kila mara huku kosa kosa zikitawala kila upande mpaka dakika 90 zinakwisha timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
Kikosi cha Tottenham : Lloris, Chiriches, Fazio, Vertonghen, Davies, Mason, Stambouli; Chadli, Eriksen, Townsend, Kane
Spurs subs: Vorm, Dier, Walker, Lamela, Dembele, Paulinho, Soldado
Kikosi cha Manchester United : De Gea, Jones, McNair, Evans, Valencia, Carrick, Rooney, Mata, Young, Van Persie, Falcao
United subs: Lindegaard, Rafael, Smalling, Shaw, Fletcher, A.Pereira, Wilson
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment