Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Shirika la ndege la Australia linalofahamika kama Qantas limeanza kurusha ndege yake ambayo inatajwa kuwa kubwa zaidi ya abiria duniani na inayofanya safari zake kwa umbali mrefu zaidi.
 Ndege hiyo iliyotwa kama Airbus A380 ilitua katika uwanja wa kimataifa wa Dallas-Fort Worth saa 15 tangu ilipoondoka Sydney, Australia safari ya Kilometer 13,805 ikiwa na abiria 480 .

Bonyeza 
Hapa like ukurasa wetu facebook tukufikie haraka


 Uwanja wa kimataifa wa Dallas- Fort Worth ni uwanja mkubwa wa ndege unaounganisha ndege zote za Marekani na Latin America. Uwanja huo umeonekana kufaa zaidi kwa ndege hiyo.MAELEZO NA TIMESFM.CO.TZ

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top