
Mtu mmoja hatukuweza kumfahamu jina lake amefariki dunia papo hapo baada ya kuanguka na kukanyangwa na lori maeneo ya Tabata njia panda ya kwenda segerea.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa dereva huyo wa bodaboda alikuwa kwenye foleni mara wakatokea polisi na kuanza kunyanganya funguo ya pikipiki chanzo cha yeye kunyanganywa funguo hakikuweza kupatikana halaka katika halakati zile za polisi kumnyanganya funguo kwa bahati mbaya dereva huyo alianguka kutoa kwenye pekipeki yake na hapo ndipo lori lililokuwa mwendo kasi likaweza kumkanyaga na kumsababishia umauti.
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa baada ya tukio hilo polisi walitoka eneo la tukio.
Ajali hii imetokea leo asubuhi tabata jijini dar es salaam.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment