Mechi ya mashindano ya Champions League kati ya klabu ya PSG na FC Barcelona iliyopigwa kwenye dimba la Stade de France na PSG kushinda 3-2, ilihudhuriwa na mastaa kibao. Miongoni mwao ni pamoja na Jay Z na mke wake Beyonce, David Beckham na rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy. Wengine ni Cannavaro na Patrick Kluivert.
David Beckham akiwa na furaha
Aliyekuwa nahodha wa timu ya Italia iliyoshinda kombe la dunia Fabio Cannavaro (chini kushoto) na Meneja wa Ufaransa Didier Deschamps (chini kulia) pia walihudhuria
Beckham and Cannavaro wakifurahia jambo
Beckham akiongea na Kluvert
David Beckham akimnong’oneza kitu Jay Z wakati Beyonce akiwa busy kuangalia mechi ya PSG waliowakaribisha Barcelona usiku wa Jumanne
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment