Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Esma Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz  amefunga ndoa  jana  na Petit Man ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu ya Endless Fame Productions.
 
Petit Man pia ni meneja wa mwanamuziki Mirror. Ndoa hiyo ni ya kiislamu na celebrities kadhaa walihudhuria.

 
 
Bonyeza Hapa like page yetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top