Msanii wa filamu, Lungi Mwaulanga ametoa kali baada ya kusema kuwa, bila kuvaa nguo zinazoanika baadhi ya sehemu zake ‘muhimu’ hasikii raha.
Akipiga stori na gazeti hili, Lungi alisema kutokana na hali ya joto ya Jiji la Dar, kuvaa nguo nyingi mwilini ni sawa na kujipa karaha hivyo hulazimika kuvaa vivazi vya kisasa zaidi.
”Najua kuna ambao wanakereka na uvaaji wangu lakini nadhani hawana sababu ya kukereka. Napenda kuvaa ninavyojisikia kwa hiyo hata nikivaaje, ni mimi na maisha yangu,” alisema Lungi.
Bonyeza Hapa like page yetu
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment