Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Sheikh Ponda akiwa eneo la Mahakama.


Wakili Juma Nassoro akizungumza na waandishi na wafuasi wa Sheikh Ponda.


Baadhi ya wafuasi wa Sheikh Ponda wakimsikiliza wakili Juma Nassoro nje ya mahakama kuu.

KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ya kufanya mkutano wa hadhara mjini Morogoro, imeahirishwa hadi Septemba 10 mwaka huu, itakaposikilizwa katika Mahakama Kuu.


Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa utetezi  kuomba kesi hiyo iliyoko Morogoro ihamishiwe katika Mahakama Kuu ya Tanzania badala ya kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar.
  

(Picha/Habari: Gabriel Ng’osha na Haruni Sanchawa/GPL)

  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top