Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kampuni ya Apple imedai kuwa hadi sasa imeshauza simu zake mpya za iPhone 6 na iPhone 6 Plus milioni 10 ikiwa ni siku tatu tu tangu ziingie sokoni.
Apple_iPhone_6-4
Hadi sasa iPhone hizo mpya zipo Marekani, Australia, Canada, Ufaransa, Ujerumani, Hong Kong, Japan, Puerto Rico, Singapore na Uingereza. September 26 zitafika kwenye nchi zingine 20 na zingine zilizosalia mwishoni mwa mwaka huu.

CEO wa kampuni hiyo, Tim Cook Jumatatu hii alidai kuwa mahitaji ya simu hizo yamezidi matarajio yao.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top