Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Iggy Azalea amemfungulia mashtaka mpenzi wake wa zamani anayedai kuwa anataka kusambaza mkanda wao wa ngono.
iggy-azalea-5
Rapper huyo anadai kuwa ex wake alikopi data nyingi kutoka kwenye laptop yake bila ruhusa.
Iggy amefungua mashtaka hayo dhidi ya Hefe Wine kwa kumtuhumu kudownload kila kitu kutoka kwenye komputa yake binafsi mwaka 2009 wakati wakiishi pamoja huko Atlanta. Anadai kuwa data hizo ni pamoja na nyimbo ambazo hakuwahi kuzitoa.
Iggy anamtuhumu pia ex wake huyo kwa kufoji nyaraka alizodai kuwa alisaini mkataba ambao utamruhusu kusambaza nyimbo na video zake. Hata hivyo mashtaka hayo hayajataja chochote kuhusu mkanda wa ngono ambao Hefe anadai kuwa walirekodi.
Bonyeza Hapa like page yetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top