Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Daraja la Akashi- Kaiyo lililopo Japan ndilo daraja refu na pana kuliko madaraja yote duniani yanayopita juu ya maji.

 Daraja hilo lina urefu wa mita 1,991 juu na lilijengwa kwa muda wa miaka 10, ambapo lilimalizika mwaka 1998.

Daraja hilo linaunganisha jiji la Kobe liliko bara na Iwaya iliyoko katika kisiwa cha Awaji. Daraja hili linajulikana pia kama ‘Pearl Bridge’.
Bonyeza Hapa like ukurasa wetu wa facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top