Manchester city jioni ya leo katika uwanja wa Etihad wamelazimishwa sare ya goli moja kwa moja na timu ya Chealsea.
Ilikuwa ni Chelsea walioanza kujipatia bao la katika dakika 71 Andre Schuerrle akipokea pasi kutoka kwa winga machachali
wa Chelsea Eden Hazard dakika tano kabla ya mpira
kuisha mchezaji wa chelsea Frank Lampand aliisawazishia City
goli baada ya kupokea pasi kutoka kwa James Milner,
Dakika ya 66 beki namba mbili wa Man city Pablo Zabaleta alipata
kadi ya pili ya njano na kutolewa nje
Dakika ya 66 beki namba mbili wa Man city Pablo Zabaleta alipata
kadi ya pili ya njano na kutolewa nje
Chelsea fans support Lampard at the Etihad Stadium.
Details ya mchezo wote hii hapa.!
Kikosi cha Man City : Hart, Zabaleta, Kompany, Mangala, Kolarov, Milner, Fernandinho, Toure, Silva, Aguero, Dzeko.
Subs: Caballero, Sagna, Demichelis, Clichy, Lampard, Nasri, Navas
Kikosi cha Chelsea : Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Fabregas, Hazard, Diego Costa
Subs: Cech, Filipe Luis, Mikel, Oscar, Schurrle, Remy, Drogba
Katika mchezo mwingine iliochezwa jioni ya leo timu ya Everton imelala mbele ya Crestal palace kwa kufungwa magoli 3 -2 wakiwa katika dimba la Nyumbani
Crystal Palace's Fraizer Campbell (second left) celebrates scoring the goal to put his side ahead at Everton
Details ya mchezo wote hii hapa.!
Bonyeza Hapa like page yetu
| FT | 1 - 1 | ||
|---|---|---|---|
| half-time: | (0 - 0) | ||
| match details : | |||
| 12' | |||
| 32' | |||
| 35' | |||
| 39' | |||
| 40' | |||
| 44' | |||
| 66' | |||
| 71' | 0 - 1 | ||
| 77' | |||
| 85' | 1 - 1 | ||
Subs: Caballero, Sagna, Demichelis, Clichy, Lampard, Nasri, Navas
Kikosi cha Chelsea : Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian, Fabregas, Hazard, Diego Costa
Subs: Cech, Filipe Luis, Mikel, Oscar, Schurrle, Remy, Drogba
Katika mchezo mwingine iliochezwa jioni ya leo timu ya Everton imelala mbele ya Crestal palace kwa kufungwa magoli 3 -2 wakiwa katika dimba la Nyumbani
Details ya mchezo wote hii hapa.!
| FT | 2 - 3 | ||
|---|---|---|---|
| half-time: | (1 - 1) | ||
| match details : | |||
| 9' | 1 - 0 | ||
| 30' | 1 - 1 | (pen.) | |
| 54' | 1 - 2 | ||
| 56' | |||
| 70' | 1 - 3 | ||
| 76' | |||
| 77' | |||
| 83' | (pen.) | 2 - 3 | |
| 89' | |||
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment