Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
.Man united inayoongozwa na Mholanzi Luis Van gaal imepoteza mechi yake dhidi ya timu ya Leicester! Man united ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 13 ya mchezo bao likifungwa na Robin Van Persie baada ya dakika chache Angel Di maria alifunga bao la pili, katika dakika ya 17 ya mchezo Leicester City walijipatia bao lao la kwanza kupitia kwa mchezaji wao Jose Leonaldo Ulloa, mpaka Mapumziko Matokeo yalikuwa 2-1, Kipindi cha pili kilipoanza Man united walipata bao katika dakika ya 57 goli likifungwa na Ander Herrera, Leicester city waliongeza kasi na kufanikiwa kufunga bao lingine katika dakika ya 62 ya mchezo goli likifungwa na David Nugent kwa mkwaju wa penalt, Katika dakika ya 64 ya mchezo Esteben Cambiasso aliipatia Leicester City bao la tatu, baada ya dakika chache Jmie Vady aliipatia Leicester City goli la nne, katika dakika ya 83 Jose Leonardo alizima kabisa ubishi baada ya kufunga bao la tano na kufanya matokeo kuwa 5-3, katika mchezo huu Tyler Blackett alipewa kadi nyekundu na wayne rooney kupewa kadi ya njano!

Esteban Cambiasso akishangilia goli na  Leonardo Ulloa  . details ya mechi hii hapa chini na wafungaji wa mabao yote

FTLeicester City5 - 3Manchester United
half-time:(1 - 2)
match details :
13'
0 - 1Robin van Persie
16'
0 - 2Angel Di Maria
17'Jose Leonardo Ulloa
1 - 2
33'Ritchie De Laet

57'
1 - 3Ander Herrera
62'(pen.)David Nugent
2 - 3
64'Esteban Cambiasso
3 - 3
79'Jamie Vardy
4 - 3
83'
Tyler Blackett
83'(pen.)Jose Leonardo Ulloa
5 - 3
83'
Wayne Rooney



Kikosi cha Manchester United : De Gea, Rafael, Evans, Blackett, Rojo, Blind, Herrera, Di Maria, Falcao, Rooney, Van Persie



Kikosi cha Leicester starting : Schmeichel, De Laet, Morgan, Moore, Konchesky, Hammond, Cambiasso, Nugent, Drinkwater, Vardy, Ulloa 

Mechi nyingine ilikuwa ni ya Tottenham iliyokubali kufungwa goli moja kwa bila nyumbani na timu ya West bromwich albion.
James Morrison of West Brom scored their opening goal at Tottenham.
details ya mechi hii tazama hapa chini
FTTottenham Hotspur0 - 1West Bromwich Albion
half-time:(0 - 0)
match details :
73'Danny Rose

74'
0 - 1James Morrison
83'
Stephane Sessegnon
90'Roberto Soldado
Ben Foster


Kikosi cha Tottenham : Lloris, Dier, Kaboul, Chiriches, Rose, Capoue, Dembele, Chadli, Eriksen, Lamela, Adebayor



Kikosi cha West Brom : Foster, Wisdom, Dawson, Lescott, Pocognoli, Dorrans, Morrison, Gardner, Brunt, Sessegnon, Berahino



Bonyeza Hapa like page yetu upate updates

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top