Daladala mkoani kigoma asubuhi ya leo wamegoma kuingia barabarani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kupandishiwa kodi ya mwaka kutoka laki tatu na nusu (350,000) mpaka laki saba (70000) kwa mwaka.
Asubuhi ya leo katika vituo vya daladala wananchi wa maeneo mbalimbali mkoani hapa wameonekana wapo wanatembea barabarani huku bajaji na pikipiki ndio zikiwa zinafanya kazi.
Endelea kuwa nasi tukujuze kinachoendelea
Bonyeze Hapa like page yetu
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment