Joh Makini akifanya yake — in Kigoma.
Mshindi wa tuzo ya mtunzi bora bendi, Christian Bella akiimba mbele ya umati wa mashabiki wa Kigoma — inKigoma.
Ukilinganisha na mikoa mingine, Kigoma ilikuwa na mpangilio wa aina yake wa nyimbo ambapo kila msanii alijitahidi kupanga nyimbo ambazo mashabiki wanazijua ili kuamsha shangwe na wakati mwingine kuimba nao pamoja.

Mfalme wa Taarab nchini Mzee Yusuph ndiye aliufungua usiku wa Kili Music Tour. — in Kigoma.
Amini akiwaimbisha mashabiki moja ya nyimbo zake.
Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini.
Diamond na Wasafi wakiufunga usiku uliojaa burudani mkoani Kigoma
Bonyeza Hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment