Wananchi
wakiliangalia basi la mahabusu la Jeshi la Magereza namba MT 0046,
ambalo lilishambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana na kudaiwa
kumpora mahabusu mmoja na kutokomea naye leo katika Barabara ya Old
Bagamoyo, karibu na Mayfair, Mikocheni, Dar es Salaam. Mahabusu wawili
walijeruhiwa na askari mmoja wa magereza.
sehemu ya nyuma ya basi hilo ikiwa wazi baada kioo kusambaratishwa na kufanikiwa kumpitishia mwenzao
PICHA NA WADAU WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro













Post a Comment
Post a Comment