teamukwelinauwazi Watu wengine washamba sana
ulisikia wapi watu wakiachana ndio hawaongei na
watu wengine ...
Hizo ni habari Za kizamani sana tena sana !! Hawa
watu wameishi vizuri hawana matatizo na
wanaelewana sasa kama dangote kaachana na
penny ndio penny asiongee na esma, halima
kimwana, Queen darlin na Mama yao ??
Kwani wao waligombana nao nyie vipi kupendwa
na ndugu wa mume hua ni bahati ni wachache
wenye hizo bahati.. Na Pia hatujui nini kinaendelea
hapo jamani sisi yetu ni macho kutazama movie
ikiendelea !! Mengi yapo nyuma Ya pazia ...
Ni vitu vinaendelea hii sio movie Bali ni series ...
Hawa watu au hii group yao haiongei wala kujibu
kitu ni watu wanaojua wanafanya nini Halima ni
rafiki mkubwa sana wa dangote kushinda hata
esma dada wa dangote arafu ni kipenzi cha penniel
huyo esma dada wa dangote ndio nr one kipenzi
wa penny huyo Queen darlin ndio best wa penny
Mama yake Naseeb ndio usiseme harafu sasa wale
madansa na wapiga picha hadi madirector ni wapo
na penny nikutonye tu esma anaishi na penny ile
Nyumba ni dangote kailipia Sisi tunasubiri next
season Ya hiyo series..
Kwani unafikiri nini si nini tu huyo wema mbona
hapelekwi huko kwenye hizo shughul basi kama
sio mapenzi Ya biashara ni nini ??!
Tunajua dangote yupo njiani kuachia nyimbo yake
Mpya na tunaisubiri wema aendelee kupeperusha
kibendera maana ndio msukule wa dangote hapo
alipo ni zezeta...
CREDIT TO TEAMUKWELINAUWAZI INSTAGRAM
TEAMUKWELI NA UWAZI WAJA NA MAZITO JUU YA DIAMOND,PENNY,MAWIFI,WEMA NA MAMA DIAMOND..
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment