MTOTO mzuri
Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema japokuwa ni mjamzito
lakini bado ana kasi zaidi katika kufanya kazi zake za filamu.
Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Akipiga stori na paparazi wetu, Odama alisema watu wengi wanaamini
unapokuwa mjamzito unaacha shughuli zako lakini kwake mambo ni tofauti,
kazi kama kawaida.
“Mimi mzigo hapa naendelea kama kawaida wala mimba siyo kigezo cha
kusubirisha mambo yangu, kwanza naona ndiyo imenipa nguvu ya kufanya
kazi zangu, nimekamilisha tayari kazi mpya, naiachia March 28 inaitwa
Jicho Langu,” alisema Odama.
Post a Comment
Post a Comment