Msichana mwenye umri wa miaka 19 anayetapika
pesa na vyuma.
Pesa zilizotapikwa na msichana huyo.
Msichana (katikati)akijiandaa kutapika.
Vipande vya misumari vilivyotapikwa na msichana
huyo.
MSICHANA mwenye umri wa miaka 19, ambaye
jina lake halikuweza kupatikana mara moja,
anatapika pesa, vyupa, misumari, mayai na pini
akiwa kanisani nchini Ghana.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana
huyo alitoweka nyumbani kwao kwa muda wa wiki
moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea
ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo
vinavyohisiwa kuwa vinatokana na imani za
kishirikina.
CHANZO NI IREPORTERSTV.CO
Picha zote ziko hapa chini..
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment