Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Picha zikionesha basi la kampuni ya Saibaba Express linalofanya safari zake kati ya dar - Songea likiwa limeacha barabara na kuparamia mti uliopo pembeni mwa barabara eneo la Kidegebasi iRINGA, barabara ya Iringa Mbeya
Haikufahamika maramoja chanzo cha ajali hiyo, na kama kuna majeruhi ama la, lakini mwandishi wetu ameshuhudia polisi pamoja na abiria wakiwa eneo la tukio kuona namna ya kufanya. Basi hilo lilikuwa likitoka Songea kuelekea dar es Salaam, na imetokea majira ya saa nne asubuhi...

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top