Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mtume, Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani, amesema kuwa: "Yeyote aliyesoma Qur'ani na akajifunza na akaitekeleza, wazazi wake watavalishwa taji la nuru Siku ya Kiyama. Mwangaza wake ni mfano wa mwangaza wa jua.

Na wazazi wake watavalishwa suti mbili, na kwa sababu hiyo, watauliza: Ni kwa sababu y a jambo gani tumevishwa haya? Watajibiwa: Ni kwa sababu ya mtoto wenu kujifinza Qur'ani". Al-haakim.

M/MUNGU atujaalie nasi tuwe wenye kufuza watoto wetu Quraan. Insha-Allah Ameen

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top