Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Msanii mkongwa wa Bongo Flava Lady Jay Dee amefiwa na dada yake Aitwaye Lucy Lameck Isambwa Mbibo




Lady Jay Dee Ameshare Taarifa Hizo za msiba wa dada yake kupitia mitandao yake ya kijamii






Akiwa nyumbani kwao Ukonga Jijini Dar, Jide alipost Picha AkiwaMsibani huku marafiki zake wa karibu wakiwa wameenda kumfariji katika kipindi hiki kigumu. Moja ya wasanii waliokuwepo ni pamoja na msanii mkongwe katika game ya hip hop hapa Taznania Professor J






Mwili wa marehemu Lucy Mbibo unatarajia kusafirishwa Kesho kwenda kwao Mkoani Mara kwa mazishi Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu mahali pema peponi 

Amen

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top