Msanii wa Mwanza Hamis Ramadhan Baba Hbaba amemjia juu Ustaadh Juma akidai amemdhalilisha msanii mwenzao wa Mwanza kitendo ambacho hajakipenda.
Hbaba ni muendelezo wa wasanii na wadau mbalimbali wa muziki kuendelea kumshutumu Ustaadh Juma kwa kitendo hicho.
Tayari Meneja wa TMK Wanaume Said Fella,mkurugenzi wa Visual lab Adam Juma,msanii wa vichekesho Kitale,Isabela Mpanda na wasanii wengine kadhaa wameonesha kuchukizwa na kitendo hicho cha Ustaadh Juma na Musoma.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment