Huyu ambaye kwa sasa tumuite mwanamke mwanzoni alijulikana kwa jina Clifford oche alikuwa akiishi nchini Nigeria kwenye jiji la Abuja ,
Kabla ya kuondoka na kuhamia nchini uingereza ambapo ndipo anapoishi mpaka sasa.
Anaishi huko kwa miaka 8 na kwasasa anashikilia taji la miss Sahara.
Picha Danchibo
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro






Post a Comment
Post a Comment