Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


clip_image001Wiki hii mwanamuziki Jennifer Lopez alikuwa busy sana katika  kushoot video mbili za muziki.
Ya kwanza ni video ya wimbo wake aliofanya na Ricky Martin uitwao “Adrenalina.” Na baadaye huko Fort Lauderdale, Florida JLO na Pitbull walishoot video ya wimbo wao maalum wa kombe la dunia Brazil 2014, “We are One (Ole, Ola).” Video hiyo ilifanyika jijini Miami.

Tazama picha hapa chini.clip_image001[6]
clip_image001[8]
clip_image001[10]
clip_image001[12]
clip_image001[14]
clip_image001[16]
clip_image001[18]
clip_image001[20]

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top