wameiambia
Bongo5 kuwa
hawatakuwepo
kwenye show ya
miaka 13 ya muziki ya Lady
Jaydee
itakayofanyika
May 31, kwa kile
walichodai ni
kutoafikiana kwenye malipo. Wamesema licha
ya kuendelea
kuwepo kwa
majina yao
kwenye poster
ya show hiyo, hawatotumbuiza
siku hiyo. “Dada yetu
alituita,
akatuambia
kwamba ana kazi
yake ya
kutumiza miaka 13 kwahiyo
akawa anasema
anahitaji wasanii
ambao
watamsupport
kwaajili ya kufanya show,”
amesema Linah.
“Sisi tulifuata
protocol zote
kwasababu
kama wasanii tuna viongozi,
tukafuata
protocol zote
kuweza
kukubaliana
naye mpaka tukafikia hatua
kwenye masuala
ya biashara,
yaani malipo.
Kwenye upande
huo kidogo tukawa
tumepishana,
kwenye upande
wa masuala ya
maslahi. Lakini
sasa tunashangaa yeye kuanza
kuweka
posters.” Kwa upande
wake Barnaba
amesema
hawajashindwana
na Lady Jaydee
lakini wao kama wasanii wana
menejementi na
matakwa ya ofisi
zao na hivyo
muafaka
ulishindwa kufikiwa na pia
walikuwa na
booking zingine. Hata hivyo
Barnaba
amesema hakuna
ugomvi wowote
baina yao na
Lady Jaydee. “Tuko safi tu na
dada, mbona
tuliafikiana vizuri
tu na tuko
kwenye
maongezi mazuri tu, tulishaongea
na hili suala liko
vizuri,” amesema
Barnaba. #Crdt Bongo 5
Bongo5 kuwa
hawatakuwepo
kwenye show ya
miaka 13 ya muziki ya Lady
Jaydee
itakayofanyika
May 31, kwa kile
walichodai ni
kutoafikiana kwenye malipo. Wamesema licha
ya kuendelea
kuwepo kwa
majina yao
kwenye poster
ya show hiyo, hawatotumbuiza
siku hiyo. “Dada yetu
alituita,
akatuambia
kwamba ana kazi
yake ya
kutumiza miaka 13 kwahiyo
akawa anasema
anahitaji wasanii
ambao
watamsupport
kwaajili ya kufanya show,”
amesema Linah.
“Sisi tulifuata
protocol zote
kwasababu
kama wasanii tuna viongozi,
tukafuata
protocol zote
kuweza
kukubaliana
naye mpaka tukafikia hatua
kwenye masuala
ya biashara,
yaani malipo.
Kwenye upande
huo kidogo tukawa
tumepishana,
kwenye upande
wa masuala ya
maslahi. Lakini
sasa tunashangaa yeye kuanza
kuweka
posters.” Kwa upande
wake Barnaba
amesema
hawajashindwana
na Lady Jaydee
lakini wao kama wasanii wana
menejementi na
matakwa ya ofisi
zao na hivyo
muafaka
ulishindwa kufikiwa na pia
walikuwa na
booking zingine. Hata hivyo
Barnaba
amesema hakuna
ugomvi wowote
baina yao na
Lady Jaydee. “Tuko safi tu na
dada, mbona
tuliafikiana vizuri
tu na tuko
kwenye
maongezi mazuri tu, tulishaongea
na hili suala liko
vizuri,” amesema
Barnaba. #Crdt Bongo 5
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment